Skip to main content
Transfer Swap

Pata wa Kubadilishana Kituo

Huduma ya ShulePoint inayosaidia watumiaji binafsi kutafuta uwezekano wa kubadilishana kituo kwa mpangilio salama wa mfumo.

Jinsi huduma inavyosaidia

  • Weka ombi lako la kubadilishana kituo ndani ya akaunti yako.
  • Tafuta na linganisha maombi yanayoweza kuendana na mahitaji yako.
  • Dhibiti ombi na taarifa zako kupitia Individual Portal.
  • Taarifa binafsi za ndani ya huduma hazionyeshwi kwenye ukurasa huu wa public.
Ukurasa huu ni maelezo ya huduma kwa Google na wageni. Maombi, matches na taarifa binafsi hubaki ndani ya akaunti iliyolindwa.